Home > Terms > Swahili (GB) > kukata rufaa

kukata rufaa

Ombi rasmi kwa mahakama kuu kutaka kusikilizwa kesi ambayo iliamuliwa na mahakama ya chini. Mahakama za Juu Zaidi ndizo mahakama za juu kabisa zinazoweza kusikiliza kesi za rufaa zinazohusu sheria za jimbo, huku Mahakama ya Juu ya Marekani ikiwa ndiyo mahakama kuu zaidi ambayo inaweza kusikiliza kesi za rufaa zinazohusu sheria za Shirikisho ama za kikatiba. Rufaa kwa mahakama ya jimbo hufanywa kwa utaratibu fulani kama vile kwa kuangazia iwapo utaratibu mwafaka wa kisheria haukufuatwa katika kesi ya awali. Yeyote anaweza kulalamika kwa Mahakama ya Juu ya Marekani kuchukua kesi kama ilivyoshauriwa. Hata hivyo, mahakama inatazamiwa kukubali kesi iwapo inahusisha maswala yanayohusiana na ukatiba wa uamuzi wa mahakama ya chini ama mtafaruku kati ya mamlaka ya jimbo na serikali kuu.

0
My Glossary'e ekle

Ne demek istiyorsunuz?

Tartışmalara katılmak için oturum açmanız gerekiyor.

Terimler Haberlerde

Öne Çıkan Terimler

DEBORA KAYEMBE
  • 0

    Terms

  • 0

    Sözlükler

  • 7

    Followers

Sektör/Rtki Alanı Devlet Kategori Silah kontrolü

udhibiti wa uhalifu

Mbinu zilizotumika kupunguza au kuzuia uhalifu katika jamii kwa kudhibiti vitendo au vitendo uwezekano wa wahalifu. Hizi ni pamoja na kutumia adhabu ...