Home > Terms > Swahili (GB) > kukata rufaa

kukata rufaa

Ombi rasmi kwa mahakama kuu kutaka kusikilizwa kesi ambayo iliamuliwa na mahakama ya chini. Mahakama za Juu Zaidi ndizo mahakama za juu kabisa zinazoweza kusikiliza kesi za rufaa zinazohusu sheria za jimbo, huku Mahakama ya Juu ya Marekani ikiwa ndiyo mahakama kuu zaidi ambayo inaweza kusikiliza kesi za rufaa zinazohusu sheria za Shirikisho ama za kikatiba. Rufaa kwa mahakama ya jimbo hufanywa kwa utaratibu fulani kama vile kwa kuangazia iwapo utaratibu mwafaka wa kisheria haukufuatwa katika kesi ya awali. Yeyote anaweza kulalamika kwa Mahakama ya Juu ya Marekani kuchukua kesi kama ilivyoshauriwa. Hata hivyo, mahakama inatazamiwa kukubali kesi iwapo inahusisha maswala yanayohusiana na ukatiba wa uamuzi wa mahakama ya chini ama mtafaruku kati ya mamlaka ya jimbo na serikali kuu.

0
My Glossary'e ekle

Ne demek istiyorsunuz?

Tartışmalara katılmak için oturum açmanız gerekiyor.

Terimler Haberlerde

Öne Çıkan Terimler

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    Sözlükler

  • 3

    Followers

Sektör/Rtki Alanı İnsan Kategori Müzisyenler

Lady Antebellum (almasi , Watu, wanamuziki)

Lady Antebellum ni nchi Marekani bendi ambayo inaundwa na watu binafsi tatu: Charles Kelly, Dave Haywood, na Hilary Scott. Wote Kelly na Scott ni ...